Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Without. ......no dought
Ndo nani huyo? Na anatoka Kundi gani? Kalenjin, Mjaluo au Pokot?
Ni Msukuma mwenzio, njoo umpigie debe kama ulivyompigia Magu.
Mimi siyo Msukuma!
Wapoko ni Wakalenjin weweNdo nani huyo? Na anatoka Kundi gani? Kalenjin, Mjaluo au Pokot?
Msukuma wanjala.....Hawezi huyu, Nasa kwa Jubilee bado sana, uhuru hajaanza siasa, mtashangaa
Mimi siyo mtu muhimu hadi ujue kundi langu sigombei nafasi yoyote ile nchini Kenya!
Basi waweza jamasa tu. Achana na politics ya Kenya yetu we msukuma
Ala, kumbe pia nyinyi mna ukabila??Basi waweza jamasa tu. Achana na politics ya Kenya yetu we msukuma