Next is Something Else

Teflonomicss

Senior Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
150
Reaction score
177
Evening wakuu
Katika kumalizia weekend nimekaa nacheki hii series ya next daaah huu mzigo ni balaa kwa wale wapenda movie za sci-fi hii si ya kukosa
Nilichoona humu ni kwamba watu tunashangilia sana ukuaji wa technology ila imagine ile technology inakugeuka na inataka ku wipe existence of mankind ibaki yenyewe na ukizingatia kila tunachotumia now kinategemea technology innovation kuanzia Simu, Magari, na hata silaha za makombora
Haha huku ndani watu wamepigwa matukio mpaka wamechanganyikiwa

Good Evening
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…