Next CDF? Something she is cooking

Mwanzoni alikuwa ni Kanali Nyamburi Mashauri na sasa ni Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri
 
Serious ni janga kwa jicho la tatu linatengenezwa ambalo hakuna atakayeweza kuliweka sawa,itabaki kulaumiana na historia itawahukumu waliosababishwa,yangu macho tu
 
Unakumbuka enzi za JPM na Marehemu Mbuge ambaye alikuwa anamwandaa awe CDF?

Iwapo litatokea lolote juu ya Uongozi wa Mama Samia, naye anaweza kupitia aliyopitia Marehemu Mbuge
Umeshuhudia battle nyingi sana Toka Enzi za kina abdullyskys na nyererere.

Mimi nani ni tie neno
 
Unakumbuka enzi za JPM na Marehemu Mbuge ambaye alikuwa anamwandaa awe CDF?

Iwapo litatokea lolote juu ya Uongozi wa Mama Samia, naye anaweza kupitia aliyopitia Marehemu Mbuge
Bana, inchi ikiwa inakwenda kwa matakwa ya mtu binafsi kuna mambo mengi sana huweza tokea mazuri na mabaya pia
 
NImekurupuka zangu usingizini nikadhani CDF mwisho ni colonel,kumbe mmeshafika Mej general na sijui🀣🀣🀣.
 
Ni kweli Mkuu, na haya yote ni mapungufu ya Katiba yetu kumpa majukumu yote Rais

Kwahiyo Kwa madaraka yake, anaweza kumteua yeyote kuwa CDF
ila wewe hawezi kukuteua kuwa CDF πŸ˜…πŸ˜….. ila DGIS inawezekana
 
Yaanii Kagame anatucheka mnoooo past 20yrs anatujua vzr Sanaa tangu huyo check bob JK....akishamuonya mara kadhaaaa
 
ila wewe hawezi kukuteua kuwa CDF πŸ˜…πŸ˜….. ila DGIS inawezekana
Tangu lini sisi wakulima tukapata fursa za kuteuliwa kwenye utumishi wa Umma 😜

Wacha tubaki tupambane na Kilimo chetu cha Tumbaku tu πŸ€—
 
Yaanii Kagame anatucheka mnoooo past 20yrs anatujua vzr Sanaa tangu huyo check bob JK....akishamuonya mara kadhaaaa
Inahusiana nini mambo ya Kagame na uzi? Kwani wewe ni Mtutsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…