Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another.
I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.
Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another.
I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.
Msolid1990 newton anazungumia nishati labda sasa na love iwe ni nishati lakini ninaamini love comes from GOD the Almighty..........kwa hiyo yeye ndiye aliyeiumba na aweza kuiharibu pale tunapomchukiza kwa madhambi yetu...............
Mkuu kwanza kabisa hii sio law ya Newton (sema msolid law na sio Newton)..
Pili
Love Grows and also Dies so Love can be initiated and nourished hence grows and depending on situation can eventually die Therefore can be created by (attraction and chemistry) destroyed by (disappointments and hatred)..