News Alert: UFO in Dar

@FaizaFoxy huwa uwezo wa kuhoji shule yangu!!!!
Na sio lazima nipitie utumbo wote humu ili kuona picha....
Ungeweza kusema tu umeweka.....

Mmekurupuka kabla hamjaipitia hii nyuzi ipaswavyo, katazame post namba 58, 62 na 66.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
@FaizaFoxy huwa uwezo wa kuhoji shule yangu!!!!
Na sio lazima nipitie utumbo wote humu ili kuona picha....
Ungeweza kusema tu umeweka.....

Unaweza kuwa umeenda shule lakini hujaelimika. Ungekuwa umeelimika japo ungeona kabla ya kufunguwa nyuzi kuna alama ya "attachment" na hauna haja ya kuziona picha kwa kupitia "utumbo" wote, ukibofya tu hiyo alama unaona kama kuna picha au hakuna.

Siku nyingine kwanza tazama kama kuna alama ya "attachment" au nyingine yoyote kabla ya kufunguwa nyuzi na si kukurupuka bila mpango.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Unadhani umeelimika....infact sijaenda shule kabisa.....

Unadhani umeelimika....infact sijaenda shule kabisa.....

Si shule pekee kwenye elimu, si unaona juu hapo nimekupa darsa, sasa utaelewa namna ya kutazama kama kuna picha au hakuna bila kusoma "utumbo" wote.
 
Hahahaaaa msomi yupo ccm njaa mbaya sana bi mkubwa rudisha chenji ya mzee nanii huitendei haki unakula sahani moja na mafisadi huku ukiwapiga kisogo walalahoi Mungu hapendi.
 
Huna uwezo wa kunifunza chochote.....
Huna mama....

Si shule pekee kwenye elimu, si unaona juu hapo nimekupa darsa, sasa utaelewa namna ya kutazama kama kuna picha au hakuna bila kusoma "utumbo" wote.
 
Ni Nyota yangu ya Utabiri , ya Shehe Yahaya alikufa nayo Teh Teh Teh
 
satelite bana iyo huonekana hadi pale jua linapoanza utaiona peke ake mida ya asubuh kama hamna mawingu inamwangaza mkubwabukiona tyu utaitofautisha na nyota yeap upande wa mbezi beach uelekeo wa bagamoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…