News Alert: UFO in Dar

Last edited by a moderator:
Ni kweli anachosema FaizaFoxy kama uko maeneo ya Bagamoyo road baada ya Traffic lights za mwenge angalia mkono wako wa kulia kama unaelekea Mbezi Beach......Ni nyota kama nyota nyingine na si mara ya kwanza kushuhudia
 
Ntaweka picha ya kutoka kwenye simu.
 
kwa iyo unamwamini Mudy na unaamini UFO.
Kalaghabao!
 
Ni kweli anachosema FaizaFoxy kama uko maeneo ya Bagamoyo road baada ya Traffic lights za mwenge angalia mkono wako wa kulia kama unaelekea Mbezi Beach......Ni nyota kama nyota nyingine na si mara ya kwanza kushuhudia

Exactly na picha nimepiga ya kutokea kwenye simu, ndiyo maana nikasema wenye camera za zoom wapige picha. Sidhani kama ni nyota kwani naona sasa hivi imeshuka chini.
 
Unidentified Flying Object "UFO"
siyo lazma iwe alien au martian kinaweza kuwa chochote ambacho tumeshindwa kuki identify .Naona watu wamemkomalia dada FaizaFoxy utadhan kasema ameona kiumbe toka Pluto au galaxy nyingine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…