News Alert: tunaelekea wapi??

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
i hope mko poa jamani!

Ukijaribu kuangalia zamani kidogo na sasa hivi hapa katika Mahusiano, mapenzi,urafiki kumebadilika na kunazidi kubadilika.
kwakweli mambo yanazidi kuwa magumu, ukiingia huku mambo mengi sasa ni tofauti unaweza kudhani sio sehemu ya mahusiano,mapenzi, na urafiki.
jamani tupendane tuelimishane, lakini pia tuwe tunasameheana basi kama mtu umekosea kitu fulani.
zamani ilikua ukiingia huku ni full of love and relationshion, lakini sasa hivi imekua ni tofauti kabisa.
Ni vizuri tukijua kwamba tupo kwenye sehemu ambayo kiini chake kikubwa ni urafiki..!

love u all people
 
Ahsante kwa ushauri...

Kwenye mahusiano, usisahau conflict is the midwife of the society...
 
i hope mko poa jamani!

Ukijaribu kuangalia zamani kidogo na sasa hivi hapa katika Mahusiano, mapenzi,urafiki kumebadilika na kunazidi kubadilika.
kwakweli mambo yanazidi kuwa magumu, ukiingia huku mambo mengi sasa ni tofauti unaweza kudhani sio sehemu ya mahusiano,mapenzi, na urafiki.
jamani tupendane tuelimishane, lakini pia tuwe tunasameheana basi kama mtu umekosea kitu fulani.
zamani ilikua ukiingia huku ni full of love and relationshion, lakini sasa hivi imekua ni tofauti kabisa.
Ni vizuri tukijua kwamba tupo kwenye sehemu ambayo kiini chake kikubwa ni urafiki..!

love u all people

"..Ukienda kuomba ushauri kwa mtu, akakupa ushauri, ukaondoka pale umefurahi, fahamu fika amekudanganya, ushauri sahihi uandamana na uchungu..."

By Anonymous
 
Ni kweli Mkuu, huko nyuma kidogo ilikuwa watu wajadili mambo ya maana sana kuhusu mapenzi, urafiki na mahusiano. Imefika wakati sasa, kuna jamaa sijui ni kuchoka kifikira ama kimaisha. Matusi mengi, majibu ya kuchekelea na madharau mengi kwenye majibizano. Mara jamaa wanateka hoja, wanaanza kuulizana mambo yasio lingana na Hoja.

Tujaribu kurudisha Jamvi kwenye upeo wake.

Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom