News Alert.MUCE WAZUA TAARUKI IRINGA

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,000
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki MUCE mkoani Iringa wameandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya.Mida ya saa saba na nusu wananchi na wafanya biashara wa Iringa walijikuta wakiingiwa na wasi wasi baada ya polisi kuingilia kati maandamano kitu kilicho wafanya wanafunzi hao kutimua mbio.Up dates nitazitoa kadri ya uwezo wangu.
 

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
1,500
hawa vijana bado hawajapewa 2 boom?hebu polisi watulizeni kidogo 2po bize na kupanga na kupangua baraza la mawaziri,kaeni msome bana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom