johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,522
Fuata masharti. Wape kwanza antibiotic kwa muda wa siku 5 ili kuwatibu wale wenye infection. Siku ya 7 wape hiyo chanjo ya Newcastle then baada ya wiki moja wape chanjo ya Gombolo!Jomonii mbona wengine wananiambia nikiwapa chanjo itakua sumu kwao watakufa wote
Ohoo vizuri sanaFuata masharti. Wape kwanza antibiotic kwa muda wa siku 5 ili kuwatibu wale wenye infection. Siku ya 7 wape hiyo chanjo ya Newcastle then baada ya wiki moja wape chanjo ya Gombolo!
What?Newacastle ilikuwa ya hakina Sisse, Demba Ba hii mbovu
Mwenyewe sijui!What?
Wape OTC pamoja na Vitamins. Kumbuka ugonjwa ukiingia bandani usi chanje kuku mpaka pale utakapo hakikisha makund yote ya kuku afya zao zimetengemaa.Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje
Wape OTC pamoja na Vitamins. Kumbuka ugonjwa ukiingia bandani usi chanje kuku mpaka pale utakapo hakikisha makund yote ya kuku afya zao zimetengemaa.
Ndio. Na kasha dead1
Wewe ni katika wale??Jomonii mbona wengine wananiambia nikiwapa chanjo itakua sumu kwao watakufa wote
hivi kinga yake nn mkuuYeap
Wapi hao shindiWewe ni katika wale??
Wanasinzia afu wanazubaaKuwa mkini mkuu usijechanganya Mgonjwa utapoteza wote,wanaumweje? Au dalili zao ili nikupe msaada
Huwa wanawapa vitamn. Ila hapo jiandae kuokota tuu. Hamna namna. Ingawaje kuna wachache wanaobaki
Kideri huwa wanaarisha kijani,Taifordi wanaharisha kama chokaa .Wanasinzia afu wanazubaa
Ndio kijan pia wanaharishaNilikimbia kidogo mkuu,kupiga mishe. Kideri huwa wanaarisha kijani,Taifordi wanaharisha kama chokaa .
Unaposema wameshakua be affect unamaana gani? Au wamekwisha kuwa affected?Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje