TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 142
Nadhani serikali imeshapata kiwewe na hili suala la gesi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
There must be something wrong. Labda walishindwa kuelewana kwenye certain issues na ukizingatia hawa ndugu zetu kama is bakora basi ni ngumi mkononi. Ebu tafuta kwanza hiyo sababu. Hivi hivi haiwezekani. Wao siyo vichaa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu kwa discussion zinazoendelea sasa hali si nzuri kwaniHata punda ukimchapa sana hbadilika na kuanza kurusha mateke...Muda si mrefu hao ndugu watabadili upole wao na hapo itakuwa MBAYAA BALAAA!!
Jeshi wanadhani wanatengeneza /wanawaadabisha Kumbe ndio wanaharibu/wanakoka moto...Natamani ningekuwa huko kuongeza nguvu.Balaa iwe double.Mkuu kwa discussion zinazoendelea sasa hali si nzuri kwani
nilikuwa huko jana kikazi, chuki kwa serikali imekuwa kubwa
na harufu ya kisasi inanukia nasema tusubiri...............
Sidhani kuwa wka mazingira haya serikali imefikia hatua ya kutumia jesho la ulinzi ili kuwafanya wananchi wawe katika mstari. Sizungumzii wanajeshi na weledi wao, naizungumzia serikaliUwa hawatafutwi hao na ukiingia kwenye anga zao hawalembi,na usisubutu kuwabeep wanakupigia.kaa nao mbali bro.