New York Times: Trump amesema Kim Jong Un ni Gentleman.

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,598
Wakuu unajua ukweli ni kuwa kuna peace angels wanaoshikilia pepo nne za dunia kuendelea kuwa salama ili war mongers wasiiteketeze dunia, Trump siku ya jana wakati wa pasaka huko white House alihojiwa na New York Times akasema kuwa Kim Jong Un ni gentleman tu, je hii ni mbinu ya kumzuga Kim au ni kweli jamaa kaanza kulegeza ili amani iendelee kutamalaki. Source: New York Times
 
Back
Top Bottom