New World Order ; You are here

Naiona familia ya Rothschild hapo kileleni anatuangalia watumwa wao!!! ....Shit
 
Kwel waafrika tulirithi laana, huu ni ukwel unaouma

Bado tuna nafasi ya kujikomboa lakini sio leo wala kesho wala kizazi hiki...maamuzi yetu ya sasa ndio yatakikomboa au kuzidi kukididimiza kizazi kijacho angalia hii rukifanikiwa kutoka kwenye minyororo ya madeni na utegemezi tutakuwa tumeukomboa wakati wa kizazi kijacho
 
kabla sijafungua hapa kupitia jina la uzi tu nlishajua nani kapost hii thread. thanks mleta uzi mshana jr endelea kutupa nondo
 
Last edited by a moderator:
Lakini kama kavaa gauni na crown umeangalia vizuri lakini?

Hiyo headdress ni ishara ya king aka mtawala,
na hilo unaloita gauni ni masonic insignia, sio gauni unalolijua, ni kama joho wanayovaa majudge au maspeaker wa bunge,
 
Hiyo headdress ni ishara ya king aka mtawala,
na hilo unaloita gauni ni masonic insignia, sio gauni unalolijua, ni kama joho wanayovaa majudge au maspeaker wa bunge,

Basi sawa...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…