New World Order ; You are here

MaeleZo basi plz!!!!

Nchi yako kwasasa inajitosheleza kwa kila kitu?
Nchi yako kwa sasa inadai au inadaiwa?
Nchi yako kwa sasa inakopa au inakopesha?
Nchi yako kwa sasa inajitawala au inatawaliwa?
 
Najutaga sana kuzaliwa, nikicheki haya mavitu mkuu,

Najiona mfungwa huru

Ila najipa hopes kupigana ndo kila kitu, kufa na kuzaliwa ni siku moja tu
 
kwahiyo hizo familia ndo kila kitu duniani hapa?
Hao ndio engine ya dunia na ndio wameshikilia sterling... Inauma inaudhi lakini ndio ukweli tena ukweli mchungu
 
Kazi ipo ila vizuri kujuza watu kila siku kuhusu hiyo kitu maana wengi hawataki kujua na wengine wapo gizani mwenyezi mungu atulinde hili jambo
 
Kwel waafrika tulirithi laana, huu ni ukwel unaouma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…