Tanzania tuseme ukweli wala tusijilinganishe na kenya kwa sie tulio mpakani Kenya wametuzidi kila kitu isipokuwa Ardhi,mapishi na kuzaliana mengine sie sifuri tu
Kwenye hiyo picha hapo inaonyesha betri ya simu yako imesalia 9% halafu huku unateseka ukijaza mapicha kwenye server za watu, unajisifia abiria kujaza mkondo wa flight moja kwa siku.
Angalia Dar Kigoma kesho flight ni moja tu siku inaisha.

Kigoma ni Mji mdogo sana, ulitaka twende mara nne kwa siku kama Mwanza au KIA?
Tulia mzee na uache umbeya 9% inahusikaje hapa, Besides have you ever tried korosho ni Bia
Kigoma ni Mji mdogo sana, ulitaka twende mara nne kwa siku kama Mwanza au KIA?
Tulia mzee na uache umbeya 9% inahusikaje hapa, Besides have you ever tried korosho ni Bia View attachment 1282165