Kama ni voice thing tu,cjui kama kuna jipya la kusubiria hapo.Labda jipya zuri la kulisubiria ni kauli ya Mark juzi aliposema WhatsApp itakuwa ikionesha na location ya mtu via GPS.
Sasa hili ndo hatari zaid ya LAST SEEN,ila hapa km kawaida cracks huwa hazikosi.