What Joh makini kamfunika aka labda kwny mavazi ile kwny huu wimbo kapotezwa licha ya aka kuimba verse 1 tuBig up Joh naona kama A.K.A kafunikwa hivi..
Hakuna kitu hapo
Ni kweli hakuna kitu, video nzuri ila audio imekaa kimarekani zaidi
hakuna kitu hapo
Unataka Joh makini kila cku abaki local hii ngoma lazima ivuke boda angalau tumuone Ana shindana na wakina cassper nyovest, a.k.a, sarkodie, k.o na olamide ila don't bother
Kwani kuwa wa kimataifa ni lazima ucopy beats za kimarekani?
Beat ya nani ime copiwa kwan kuna beat ya marekani na beat ya Tanzania beat ime pigwa na nahreel izo ndo beat zke kasikiliza game, no body but me ndo beat zke zilivyo