New Vacancies At PASADA Tanzania, December 2020- (37 Various Posts)

Walishaita watu kufanya interview teyari kwa siku ya Ijumaa tarehe 8 sahivi wanachakata wa kuitwa kupiga kazi
Hzi interview naamini zina walakini sana 😁 😁 😁 😁 ,Nilichokiona na kilichotokea kinanipa walakini juu ya fairness ya process yenyewe
 
Daaah mbona walikuwa fair sanaaaa, wewe uliitwa kwenye nafasi gani?
 
Back
Top Bottom