Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
Mawazo ni yale yale ya "simba na yanga nani zaidi?" Mndengereko utamjua tu... lol!!!
Kama kuna mafanikio ya kibiashara unayopata kupitia familia ya kikwete umebakiza siku chache uone joto ya jiwe Kama Mimi ninavyoiona sasa PambafYa ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
what i hate is Dar imejaa vyuo na bado wanaongeza, hawajui kuwa kuna miji mingine inahitaji? Poor planning. Dar 20+ na Mwanza 3
Hv muelewa uwa anashadadia wingi wa vyuo/shule au ubora wa elimu ipatikanayo?tumeona matokeo ya elimu ya sekondari,over 50% ya wanafunzi ni failures alafu we unakuja kuuliza chuo cha ngapi iko toka ****** aingie madarakani,ubora wa elimu haupimwi kwa utitiri wa shule/vyuo bali kwa kiwango cha ubora wa elimu itolewayo!hakuna hasiyejua sasa hv jinsi nchi yetu inavyototoa graduates ambao sio competent kabisa!sishangazwi kwa mawazo yako lakini!Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
you said it!what i hate is Dar imejaa vyuo na bado wanaongeza, hawajui kuwa kuna miji mingine inahitaji? Poor planning. Dar 20+ na Mwanza 3
Ama kweli huitaji kusomea epistemology ili kutambua I.Q ya mtu kama Ribosome. Inajieleza yenyewe kwamba hakuna kitu, ni afadhali I.Q ya kuku!Wewe ulitakaje?
Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.
Tujenge vyuo gani tena wakati viko kila kijiji na mtaa.Wengine wanajenga vyuo vikuu....wengine wanalilia KADHI
Ya ngapi hiyo toka Kikwete awepo madarakani?
Hesabuni na zote kabla yake halafu mkipata jibu, kaeni kimya.