new track: niko single

Baba V, hebu njoo utangaze rasmi kuvunjika kwa hii ndoa ndoano nilifanikiwa kujinasua, nawazibia wadau riziki zao, watu wanataka kujibebea
 
Last edited by a moderator:

Dedication: Naomba unisamehe wa yuleee nimemsahau jina
 
Baba V, hebu njoo utangaze rasmi kuvunjika kwa hii ndoa ndoano nilifanikiwa kujinasua, nawazibia wadau riziki zao, watu wanataka kujibebea

Baba V atakuwa na lake jambo..... make nishamuita mpk basi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni uliponiona ukajikwaa,
nikakutongoza hukukataa,
na sasa yamenikuta.
chukua time chukua time,chukua time chukua time.....


remix ntawashirikisha Erickb52 na Chimbuvu iyo itakuwa anthem
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…