New TRA Calculator

New TRA Calculator

Nzobanga01

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
8
Reaction score
7
Wadau TRA wameweka Calculator mpya kwa ajili ya ukadiliaji wa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini

Calculator hiyo ni rahisi kutumia na pia inakupa kodi kwa shilingi za kitanzania ingia kwenye website yao utaikuta
 
wanabadili vip calculator kabla mwaka wa fedha haujaisha au ndio kutafuta pesa za uchaguz????
 
Back
Top Bottom