Embu wacha uvivu basi ndugu yangu we unaikopi template hutaki hata kufanya customization kdg iendane na matakwa yako. Duh then unataka na member hapo hapo na matangazo juu, Bado najiuliza kwann sisi vijana wa kitanzania ni wavivu hivi, Idea nzuri lakini lazima Ufanye juhudi ifanikiwe huwezi kutaka mafanikio ya ghafla ivo lazima ufanye homework yako aisee.