New song; Professor Jay ft Diamond -Kipi sijasikia

cjilo

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
884
444
katika pitapita nimekutana na song jipya la professor Jay, naliona limetulia mashairi yana ujumbe tosha, beat kasimama mtu mzima Kinywele, chorus safi kabisa kasimama Diamond, mtu mzima J kachana kwa style ya kipekee kama enzi zile za majoshi jasho na damu.
Bado najiuliza track hii itampaisha J kama ile aliyoshirikishwa na Jide?
JAY1-300x300.jpg
[ New Song ] Prof. Jay Feat. Diamond â€" ‘Kipi Sijasikia’ | GongaMx Media

link nyingine ambayo ipo full http://en.savefrom.net/#url=http://...=short_domains&utm_campaign=www.ssyoutube.com
 
Hii kitu ni ya ukweli kabisa,nampa big up sana Prof. Jay kwa kuturudishia ladha na Mashairi ya kiutu uzima tuliyoyamis miaka kadhaa sasa.
 
inanikumbusha ile ngoma yake ya wapi nimekosea pamoja na jina langu ,,,,,ujumbe mzito sana,,tumechoka na mashairi ya wale wengine ya kujisifia tu
 
Nice Tune na Diamond kwenye Chorus kapendezesha....., Bongo wasanii talented wapo basi tu ni kukosa exposure na watanzania kukosa utamaduni wa kununua kazi za watu
 
Sema hii nyimbo bit sio nzito...ni laini sana.

Nafikiri Jay mwenyewe anapenda beat za namna hiyo siku hizi kama umemsikia vizuri sijaona beat nzito toka kwake, ila bado zinamtoa tena hapo diamond wangempa nzito asingesikika kabisa
 
Profesa bhana hawezi kupotea kirahisi,kuna wasanii wa hip hop wana misamiati migumu ila maneno ya prof J ya kawaida ila yanakufanya uwaze na umkubali
 
Nafikiri Jay mwenyewe anapenda beat za namna hiyo siku hizi kama umemsikia vizuri sijaona beat nzito toka kwake, ila bado zinamtoa tena hapo diamond wangempa nzito asingesikika kabisa
Hii nyimbo pia inaweza isibambe sana coz watz wengi wanapenda mambo ya mapenzi na kukata viuno...so wakiisikilza mara moja basi wataipa kisogo. Hii nyimbo haifai hata kupigwa club coz sio ya kucheza.
Hii nyimbo pia ujumbe wake labda unamuhusu mwenyewe Prof, so nadhani watu wataipa shit...hayo nimawazo yangu.
 
inanikumbusha ile ngoma yake ya wapi nimekosea pamoja na jina langu ,,,,,ujumbe mzito sana,,tumechoka na mashairi ya wale wengine ya kujisifia tu

Ni kweli Mkuu,but bila kusahau lile song la ukweli Machozi Jasho na Damu,kama unalo naomba uliweke hapa Mkuu.
 
Hii nyimbo pia inaweza isibambe sana coz watz wengi wanapenda mambo ya mapenzi na kukata viuno...so wakiisikilza mara moja basi wataipa kisogo. Hii nyimbo haifai hata kupigwa club coz sio ya kucheza.
Hii nyimbo pia ujumbe wake labda unamuhusu mwenyewe Prof, so nadhani watu wataipa shit...hayo nimawazo yangu.

Wewe size yako ni gololo golololo,hii sio level yako kabisa na tena bora ungekaa kimya tuu kuliko kuonyesha upumbavu wako hapa. Kwa hiyo unataka kuniambia hayo Prof Jay aliyoimba yamemkuta yeye peke yake Dunia au Tanzania nzima?ama kweli wewe ni crack.
 
Au Ile ngoma ya Ferouz ya Starehe alijiimbia yeye mwenyewe, wasanii kazi yao ni kufikisha ujumbe kupitia wao wenyewe
 
Mtanielewa itapofika May..just one month after the release it dies...!!!
 
Au Ile ngoma ya Ferouz ya Starehe alijiimbia yeye mwenyewe, wasanii kazi yao ni kufikisha ujumbe kupitia wao wenyewe

Ile Starehe ya ferooz utaifannisha na hii mkuu? Ukimwi ni Janga, na ile nyimbo jamaa alipata tuzo kibao na gari juu.
 
nilikua nakujibu hii ya kumhusu mwenyewe kama ulivyoandika, kuwa hii nyimbo inamhusu yeye tu hapo ndipo nilipokupinga, kuwa wasanii wanatumia sanaa kufikisha ujumbe, kuna watu wamepitia maisha kama hayo anayoyasema hapo prof jizze,,,,,,
 
Back
Top Bottom