New smart tv samsung arrive safe from e-bay $ 700 only 32"

New smart tv samsung arrive safe from e-bay $ 700 only 32"

nimefurahi kuona uzi nilioanzisha umekuwa chachu kwa watu kuona nnavyoona mambo. cheers everyone
naomba unifundishe na mimi mkuu bongo vitu ghali sana halafu full mchina
 
Tafuta bank inayosupport credit card/master card kama crdb,exim etc fungua account waambie unahitaji huduma ya ku purchase online watakuelekeza namna ya kuactivate halafu utajisajili bure paypal ili uweze kulipia online then you go ama tafuta mtu mwenye hiyo service kama mimi unaweka pesa yako tunalipia mzigo wako then unasubiri kuupokea
thax mkuu ngoja nifanye hivo
 
Kuna siku niliona mtu kapost kuhusiana na e-bay na kuna watu walikua wanahofu nauoga balaaa sasa kipindi hicho mimi nilikua nimeagiza smart tv kwa $ 700 na nilifanya hivyo baada ya kufanya utafiti maduka ya bongo nikaambiwa ni 2,500,000 mpaka 4,000,000 nikasema isiwe tabu niakaenda zangu crdb nikafungua account nikatia 1,200,000 nikaingia online nikachagua nikalipia , basi nikapewa tracking code mzigo after 4 days uko bongo,ushahidi huu hapa;

Cha kwanza nikatest kama naweza kufungua jamiiforums , bila hiana,sasa next ni smartphone, smarthouse and smartwife.......! cheerz

View attachment 117782View attachment 117783View attachment 117784

So mnaotaka kufanya shopping huko msiogope hakuna ubabaishaji kule sio wabongo wale:A S 39:
Safi sana
 
#kada hapo nimetumia Wi-Fi mkuu nina simu ya samsung nimewasha hotsport nika connect basi nikaanza pata vitu live pia inasehemu ya kuweka cable ya network (RJ 45) sijaona sehemu ya line ya simu

Nimekupata mkuu, shukrani kwa kunielewesha
 
Kuna siku niliona mtu kapost kuhusiana na e-bay na kuna watu walikua wanahofu nauoga balaaa sasa kipindi hicho mimi nilikua nimeagiza smart tv kwa $ 700 na nilifanya hivyo baada ya kufanya utafiti maduka ya bongo nikaambiwa ni 2,500,000 mpaka 4,000,000 nikasema isiwe tabu niakaenda zangu crdb nikafungua account nikatia 1,200,000 nikaingia online nikachagua nikalipia , basi nikapewa tracking code mzigo after 4 days uko bongo,ushahidi huu hapa;

Cha kwanza nikatest kama naweza kufungua jamiiforums , bila hiana,sasa next ni smartphone, smarthouse and smartwife.......! cheerz

View attachment 117782View attachment 117783View attachment 117784

So mnaotaka kufanya shopping huko msiogope hakuna ubabaishaji kule sio wabongo wale:A S 39:

Hongera kwa kuondoa uoga, wengine huwa hatuogopi kurisk, miaka kibao sasa tunaagiza uk, australia, us, china, uae na kwingineko, ukiibiwa unapata fundisho flani then unajipanga unasonga mbele. Kuna vitu vingine reasoble kununua hapa Tanzania, kama unataka kimoja utashangaa kinafika kwa bei ghali kuliko bei za hapa kwetu. wawekee documents wadauwaone, wengine tomaso. Hebu sema gharama kamili ya ya mpaka wewe kuiweka sebuleni kwako hiyo TV, utashangaa ni sawa au zaidi ya bei za bongo! Haujawa makini sana, lakini mwanzo mzuri. Siku nyingine uwe unakokotoa vizuri kabla ya kuagiza, inchi 32 ni heri ununue hapa bongo, kama unataka inchi 42 na kuendelea ni reasonable kuagiza, tena tumia mtu aitie kwenye container ili usiumie na nauli.
 
Mm naomba uniambie adress yko ulijaza nn? Vitu kama Postal code, box, city.....je mzigo ulipofika ulienda kuchukulia wapi?.....ulipofika dar ulipigiwa simu au njia gani walitumia kukuambia mzigo umesha wasili?....Tankx
 
Haya mambo nimeyaona sana vijana wanaagiza mi smart phone bila shaka kabisa, sasa hadi mi tv..??? chap chap na mimi niagize yangu aiseeeeee.
 
Kodi kama kawaida 18% VAT na custom 25% ila ukinunua ongea na muuzaji mwambie wanakata kodi atakushauri cha kufanya:smile-big::A S 39:
Mkuu wakati mwingine huwa tunaongea na muuzaji item anaimark gift je je kwa kufanya hivyo mtu unaweza pona ushuru kwa mzigo km huu
 
Mkuu wakati mwingine huwa tunaongea na muuzaji item anaimark gift je je kwa kufanya hivyo mtu unaweza pona ushuru kwa mzigo km huu

Njia nzuri mpaka sasa niliyoiona ukijiroga ukaagiza Mzigo kwa DHL duuh wale hawana DEAL kabisa na makao makuu yao yapo karibu na makao makuu ya TRA
Ninachokiongea mm nikitumiwaga mzigo kwa njia ya POSTA Mzigo silipiagi ushuru lkn siku hizi naagiza From CHINA(Aliexpress,DHgate,Alibaba) wamemark mzigo kama GIFT NA Wakaweka bei ya mzigo 50$ baada ya mzigo kufika wakanambia Ushuru ni ni 39,000 nikaenda nikalipia pale Posta baada ya Siku TATU mzigo ukakagaguliwa nikaambiwa Customs Zimebadilishwa mpaka 139,000/= baada ya mzigo kugakuliwa na kusamanishiwa bei ya 200$

Sasa sijui kama mambo ya GIFT na ku-UNDERPRICE yanasaidi
 
Back
Top Bottom