New smart tv samsung arrive safe from e-bay $ 700 only 32"

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Kuna siku niliona mtu kapost kuhusiana na e-bay na kuna watu walikua wanahofu nauoga balaaa sasa kipindi hicho mimi nilikua nimeagiza smart tv kwa $ 700 na nilifanya hivyo baada ya kufanya utafiti maduka ya bongo nikaambiwa ni 2,500,000 mpaka 4,000,000 nikasema isiwe tabu niakaenda zangu crdb nikafungua account nikatia 1,200,000 nikaingia online nikachagua nikalipia , basi nikapewa tracking code mzigo after 4 days uko bongo,ushahidi huu hapa;

Cha kwanza nikatest kama naweza kufungua jamiiforums , bila hiana,sasa next ni smartphone, smarthouse and smartwife.......! cheerz

2013-10-17 16.48.33.jpg 2013-10-17 15.33.20.jpg 2013-10-17 15.28.57.jpg

So mnaotaka kufanya shopping huko msiogope hakuna ubabaishaji kule sio wabongo wale:A S 39:
 
je ushuru ulikuwaje. . .tupe info zote na umenunulia toka wapi. .shifting cost included?
 
...na Mzigo ulifikia wapi na Umeuchukulia wapi? Tiririka Comrade Utusaidie na sisi Wenzio
 
je ushuru ulikuwaje. . .tupe info zote na umenunulia toka wapi. .shifting cost included?

Hiyo 700 $ ni pamoja na shipping mkuu,ushuru unalipia 25% custom tax ,na VAT 18% kama kawaida,nimenunua kutoka kwa dealer wa Croatia,wakati unanunua bidhaa mwambie anaekuuzia kua mzigo ukifika huku kuna charges utatakiwa kulipa halafu wao wanajua namna wanvyocheza na price na vitu vingine ili usiumie sana
 
...na Mzigo ulifikia wapi na Umeuchukulia wapi? Tiririka Comrade Utusaidie na sisi Wenzio

Ukishalipia mzigo unapewa tracking code hata kama huna sanduku la posta kwa kutumia tracking code posta wanaona details zako,mzigo unafikia posta na wengi wanatumia IPS (International Postal Services),au UPS,DHL etc.....mimi nilitumia IPS na ulichukua 5 days mpaka hapa.
 
kideo kinaingia hadi jf? Dah npo nyuma sana hebu nieleweshe kwanza kiongozi.

Hiyo ni video , smart tv ni latest version ambayo pia ina support 3D ambayo hutumiwa sana kwenye majumba ya CINEMA,ni samsum 32" TV ina apps ambazo unaweza kuingia youtube,twitter,facebook pia unaweza kubrowse jamiiforums,cnn,bbc,jipange101 etc..........
mm.jpg
 
........Hiyo Tv mbona kiduchuu!!!Utafikiri laptop.
Ni standard size ya familia mkuu pia unaweza kuongeza miwani ya 3D, ila ukitaka mpaka 56" ziko kama unataka kuweka za kudisplay matangazo au CINEMA HALL ni wewe tu unachagua size
 
mkuu na mm nataka kuagiza CM ya kutumia kutoka ebay nitafanyaje nilipie na Mzigo unifikie? msaada tafadhari
 
Mkuu #Mirindimo naomba nionjeshe kidogo hayo mambo. Naona JF ipo hewani hapo, network waipata vipi? Kupitia Wi-Fi au Simcard?
 
mkuu na mm nataka kuagiza CM ya kutumia kutoka ebay nitafanyaje nilipie na Mzigo unifikie? msaada tafadhari

Tafuta bank inayosupport credit card/master card kama crdb,exim etc fungua account waambie unahitaji huduma ya ku purchase online watakuelekeza namna ya kuactivate halafu utajisajili bure paypal ili uweze kulipia online then you go ama tafuta mtu mwenye hiyo service kama mimi unaweka pesa yako tunalipia mzigo wako then unasubiri kuupokea
 
Mkuu #Mirindimo naomba nionjeshe kidogo hayo mambo. Naona JF ipo hewani hapo, network waipata vipi? Kupitia Wi-Fi au Simcard?
Kada hapo nimetumia Wi-Fi mkuu nina simu ya samsung nimewasha hotsport nika connect basi nikaanza pata vitu live pia inasehemu ya kuweka cable ya network (RJ 45) sijaona sehemu ya line ya simu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom