New salary scale bank officer

New salary scale bank officer

mabereka

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
23
Reaction score
3
wana jf,mwenye ufahamu juu ya gross na net salary ya bank officer cum teller anijuze wadau.
 
it about 685000= gross salay kwa kuanzia once umepata uzoefu it goes up 1200,000=per month.
 
650000 kwa gross babu ikikatwa katwa hapo utakacho baki nacho unajua mwenyewe
 
Unachotakiwa kujua ni scale kwa bank teller kwenye hiyo bank kwani hakutakuwa na tofauti kubwa kati ya mwenye diploma na degree na infact sasa hivi diploma ni kama zimekwisha vile
kwa mtu mwenye bachelor degree mdau.
 
Achana n mambo ya Bachelor degree, wewe sema post gan hapo bank, experience yako kwenye hiyo kazi na bank gani. Maana kila bank ina salary scale yake
ok,mshahara wa teller mkombozi bank kwa graduate n kiasi gani? wadau,
 
650.000 hela ya kitanzania, ingawa inategemea bargaining power yako
 
Inategemea na bank kijana..kuna bank nyingne kama nmb na nbc ni majanga.
 
Vipi kuhusu HABIB BANK wakuu kwa anaeifaham, upande wa business banking hususan kwa mtu asiyekuwa na experienc (fresh graduate), na pia departments zingine kwa fresh graduates.
 
Kcb kwa bank teller ni 750, 000 gross na crdb ni around laki 8 hivi gross salary kwa hiyo net itakua around lak 6! Nbc wanaanza na lak 7 na ushee!
 
Back
Top Bottom