New robbery tactic, security alert from Stanbic Bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New robbery tactic, security alert from Stanbic Bank

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Jul 4, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Dear All,

  Please be informed that armed thieves have recently come up with a more “efficient” method of disarming people in the CBD. They extend their arm for a handshake after asking for directions, making it seem as though they are thanking their victim but they have a needle, dipped in some sort of sedative, under their sleeve that makes one feel drowsy.

  When their victim falls asleep, which seems to appear to the general public as one who has fainted, they go ahead and move their victim to a convenient location posing as Good Samaritans, only to rob them!

  Other than the loss of personal effects, there is also the risk of Contracting HIV/Aids or hepatitis since the needles in use are highly unlikely to be sterile as they could have been used on other victims.

  On Saturday at around 5.00pm someone witnessed a man in recovery mode along a lane off Mfangano Street, after he had been robbed of his belongings in the same way.

  Safety tips

  • Do not roll down your car windows when approached by a stranger.
  • Do not be quick to extend your arm to strangers.
  • Be aware of people who approach you asking for directions or time of day: keep a polite but safe distance.
  • Be wary of anyone asking to use your cell phone to make an emergency call when there seems not to be an emergency at hand.
  • Be observant. Avoid dark areas; dark allays shortcuts and suspicious persons.
  • If you feel that someone is following you, go to the nearest occupied residence or building and ask for assistance.
  • If you are confronted with such dangerous situations cry out for assistance. (Remember this is different from Carjacking or hostage taking that requires your corporation)
  Regards,

  HR Communications
   
 2. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 266
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kila kukicha watu wanagundua mbinu mpya za kujipatia vitu vya bure.

  Kuna watu wanatarget watu wenye magari ambao wanahisi wanaweza wakawa na vitu vya thamani. Wengine wanayo magari mazuri amabayo hata huwezi kuhisi, ambayo wanatumia kufuata gari lako mara wakikuona unatoka mahali kama bemnki au wakihisi kuwa una vitu vya thamani kwenye gari lako. Wanakusubiri hadi kwenye foleni, wanagonga gari yako kwa nyuma. Kwa kawaida, katika hali ya namna hiyo watu hutoa lock ya milango na kufugua mlango kuangalia. Wakati huo wewe unapotoka, mtu mwingine anafungua milango ya upande wa pili na kuchukua vitu vilivyoko mbele na kiti cha nyuma. Baadaye wanakuwambia kwa vile wamekugusa tu basi muelewane au wakupeleke mahali mkanyooshe. Unapoingia kwenye gari wao wanakuacha! Kuna bwana mmoja alitoka kuchukua fedha tawi la Kichwele wakamfanyia mchezo huu wakaondoka na 20 million!!

  Ni muhimu kuchukua tahadhari. usiweke vitu vya thamani kwenye viti, au usiviweke kiasi kwamba watu wanajua ni kitu kama laptop au briefcase. Unapoendesha hakikisha milango ya gari lako imefungwa. Kama utagongwa kwa nyuma au hata mbele au pembeni usiharakishe kutoka kwenye gari.
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa alert, ile ya kuchoma sedative itawabamba wengi sana!
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa na huu ukimwi tumekwisha wasamalia wema
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  MJINI Everyone is a suspect!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kuna Avatar ya mkuu mmoja hapa JF inasomeka; "around blacks, never relax" huwa inaniudhi lakini huenda ina ukweli flani teh teh!
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa nawasaidia sana watu manake yalinikuta nikakosa msaada kwa kila mpita njia kudhani na mie ni tapeli.

  Msikilize mtu na shida yake then amua kumsaidia au la. Si kila anaeomba msaada ni tapeli.
   
 8. Mfatiliaji

  Mfatiliaji Senior Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa nahisi wamenikosa kama mara 2 hivi,1.mzee mmoja alinikuta barabarani maeneo ya kinondoni alinistukiza kunisalimia kama ananifahamu nikakwepesha mkono wake kwa kasi ya ajabu hata yeye alishangaa afu akadai anashida na hela.nkaondoka zangu.2.nikiwa natoka mlimani city mlango wa kuingilia nbc au crdb nkakuta na jamaa 2,mmoja akanistukiza kunipa mkono(nilikuwa naangalia simu yangu).nkaukwepa mkono wake kwa haraka sana.nkiwa nimekaa mbali nao kama mita 3 hivi,mmoja akaniuliza duka la simu liko wapi,nkaondoka zangu.TUWE WAANGALIFU JAMANI,ILA HII STYLE YA KULAZIMISHANA KUPEANA MIKONO NTAKUJA KUPIGA MTU NGUMI.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,300
  Trophy Points: 280
  Guilty till proved innocent
   
Loading...