Unaweza ukanielekeza namna ya kufanya connection?LED TV,
High Quality Pictures,
Inch. 22,
Price: 330,000/=,
Location: Dar es Salaam,
Contact: 0626166552
Mkuu biashara hii.. Kama hautaki bora ungepita kimya tu.. !Inch 22 kwa 330 tena kampun ya chooni? Never!! Hiyo 330 mtu akitaka samsung au lg anapata vzr tu yanini ajichoshe na michina?
Usiharibu biashara za watu mkuu, kama ww unazo hizo za kwako tangaza kivyako sio kuchafulianaInch 22 kwa 330 tena kampun ya chooni? Never!! Hiyo 330 mtu akitaka samsung au lg anapata vzr tu yanini ajichoshe na michina?