🚨 New Report: Kenya is the 8th leading extremely poverty nation in the whole world πŸ—Ί 😊

MK254 Naona uliumiza bongolala kweli. Sasa kazi ni kutoa habari kwa mapua wakipost hapa. Frustration is real.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahaaa haaa haaa
Kule SIYO Kenya. Ni Turkana. Nairobi ndiyo Kenya na Kenya ndiyo Nairobi. Kwa taarifayako.
😁 😁 😁 😁 nairobi yenyewe huko mathare, kariobange, huruma, kibera, majengo ni ya heri turkana mara mia sababu huko ni kuzimuni kabisa
 
MK254 Naona uliumiza bongolala kweli. Sasa kazi ni kutoa habari kwa mapua wakipost hapa. Frustration is real.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani Google imepata traffic kali sana kutoka Tanzania baada ya ile mada niliyoleta.
 
Kenya ni nchi ya matajiri, masiki hawana nafasi kabisa na ndio maana matajiri wameshikilia ardhi na uchumi. Nchi haina usawa kabisa gap kati ya masikini na matajiri ni kubwa mno. Na sisi ndo tulikuwa tunaelekea huko, lakini ashukuriwe Mungu kwa kumleta JPM.

Ukweli najisikia fahari kuwa mtanzania, naweza kwenda popote,kuishi popote, kuoa kabila lolote, na kumiliki ardhi popote ndani nchi hii ilimradi nimefuata sheria za nchi.
 
Mbona unaleta old bwana hii ni 2012 kitambo sana hiki embu leta real data
2018 June poverty index report imeweka Tanzania as the poorest people in EAC and SADC., in Eastern Africa us Ethiopia pekee ndio imewashinda kwa umaskini., Google 2018 poverty index report., Nigeria is the leading in the World.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania 6th., mko mbaya!!! angalia poverty index ya 2018 June, Nigeria ili ipiku India na kuongoza kwa Mara ya kwanza., Tanzania na Uganda wali ipiku Kenya sasa mnaongoza on extreme poverty. Shughulikia hali yenyu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
😁 😁 😁 mmewapita mpaka Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ kwa extremely poverty you catching number 6 in Africa while Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ is number 7.

Good job well done muda sio mrefu mtatupita
 
the percentage is also bigger than Kenya, so hakuna cha population!., your percentage should have been smaller!!! aibu kwa Tanzania. Even South Africa are in top 10, does it mean mom pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Stop murmuring here, the fact is that you are poorest in Africa 🌍 and in the world πŸ—Ί 😊

6th 🌍
8th πŸ—Ί
Respectively
 
Jamaa unaumwa vile Kenya ni jangwa lakini nyie LDC na masikini wa kutupwa EAC na SADC!., 2018 poverty index report!., wewe umeweka data ya 2012! Wivu itawamaliza!., even though nimeona South Africa are also in top 10, on extreme poverty as at June 2018, does it mean mko pamoja nao?., fikiria sana kaka!! you are very poooor., ni Ethiopia tu ndio wako juu yenyu in Eastern Africa.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the percentage is also bigger than Kenya, so hakuna cha population!., your percentage should have been smaller!!! aibu kwa Tanzania. Even South Africa are in top 10, does it mean mom pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Just listen

πŸ‡°πŸ‡ͺ population is 48 million
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ population is 58 million

Percentage in poverty

πŸ‡°πŸ‡ͺ is 15%
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ is 17%

So go figure who is the most poorest than other.
 
mmewapita mpaka Uganda kwa extremely poverty you catching number 6 in Africa while Uganda is number 7.

Good job well done muda sio mrefu mtatupita
We were bad than that kaka., angalia kuanzia 2009., tunajaribu, nyie ndio sielewi what's happening, despite the huge fertile land., shida ni ipi???., what is the exact problem in Tanzania?? Kenya tutasema ufusadi na ukabila., tunashughulikia hali yetu., na Tanzania je???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We were bad than that kaka., angalia kuanzia 2009., tunajaribu, nyie ndio sielewi what's happening, despite the huge fertile land., shida ni ipi???., what is the exact problem in Tanzania?? Kenya tutasema ufusadi na ukabila., tunashughulikia hali yetu., na Tanzania je???

Sent using Jamii Forums mobile app
😁 😁 so now you are confessing openly that you are the poorest nation as well?
 
Tanzania 6th., mko mbaya!!! angalia poverty index ya 2018 June, Nigeria ili ipiku India na kuongoza kwa Mara ya kwanza., Tanzania na Uganda wali ipiku Kenya sasa mnaongoza on extreme poverty. Shughulikia hali yenyu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja na kupata support kubwa toka nchi za magharibi tangu mlipopata uhuru wenu, mkakataa kujihusisha na vita vya kuwasaidia waafrika wengine badala yake mkajikomba kwa wazungu mkidhani mtakua matajiri, ona sasa mpo namba 8 kwa kuwa na masikini wengi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom