Dayamondi yupo kwa level yake peke yake kibongo bongo kumfananisha na kina nani sijui ni kumtukana. Kathubutu, kafanya, kaweza, kaonyesha njia anafaa pongezi. Identity crisis ndio tatizo langu huu wimbo ni neither Tanzanian nor Nigerian but that's non of my business 🙂