new pc virus anaitwa ''lord raul cool''

bona

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
3,794
Likes
180
Points
160
bona

bona

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
3,794 180 160
kuna pc virus sijui ni mpya au mimi ndio ameingia kwa pc yangu, ni ananisumbua, kama ameshaingia kwenye pc yako, fungua internet explorer then kwenye tittle bar ya internet explorer una kuta imejiandika kwa herufi kubwa, lord raul -cool, ana appear ktk kila window ya explorer utayofungua!

naomba ushauri wa kumtoa uyu virus kwa aliyeingia kwa pc yake na akaweza mtoa!
 
Hassani

Hassani

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
278
Likes
47
Points
45
Hassani

Hassani

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
278 47 45
Dah!,hata mimi hivyohivyo mkuu
 
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined
Jul 30, 2007
Messages
1,405
Likes
6
Points
135
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined Jul 30, 2007
1,405 6 135
kuna pc virus sijui ni mpya au mimi ndio ameingia kwa pc yangu, ni ananisumbua, kama ameshaingia kwenye pc yako, fungua internet explorer then kwenye tittle bar ya internet explorer una kuta imejiandika kwa herufi kubwa, lord raul -cool, ana appear ktk kila window ya explorer utayofungua!

naomba ushauri wa kumtoa uyu virus kwa aliyeingia kwa pc yake na akaweza mtoa!
Wakuu, mkisaidiwa mrudi kuja kutoa feedback kama mlifanikiwa au la.
 
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
260
Likes
3
Points
33
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
260 3 33
Wakuu, mkisaidiwa mrudi kuja kutoa feedback kama mlifanikiwa au la.

mimi nime 'download' na kuitumia ku 'scan' lakini huyu 'lord raul cool' hajatoka. sijui nifanye nini zaidi

macinkus
 
bona

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
3,794
Likes
180
Points
160
bona

bona

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
3,794 180 160
nshapata ufumbuizi, a friend of mine ofisini kwao wamepurchase kaspersky 2010 full version, kaniwekea, imemtoa! so i guess any kaspersky can do the job!
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
44
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 44 0
Download malwarebytes itamtoa huyo spyware.. link hii hapa > http://en.kioskea.net/telecharger/telecharger-105-malwarebytes-anti-malwaremalwarebytes ni anty spyware/ malware nzuri sana ilinisaidi siku moja kaingia mdudu

Kuna mdudu fulani anatumia securty alert ya windows. Inakupa alert kuwa kuna you machine is not ptected click this to remove the threat kumbe uki click ndo unakuwa unamsambaza mdudu.

More than anti virus this one is also a very good anti malware,spyware threat tool
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
44
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 44 0
mimi nime 'download' na kuitumia ku 'scan' lakini huyu 'lord raul cool' hajatoka. sijui nifanye nini zaidi

macinkus

If i were you ningedowload Firefox au gogle chrome . then nikadisable Internte explorer.
Umewai kufanya Regstry Edit? au Competency yako kwenye PC unaigrup vipi. Advanced user, Avarage but competent user . au just end user? From this information unaweza kupewa solution kulingana na mazingira yako?
 
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
260
Likes
3
Points
33
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
260 3 33
If i were you ningedowload Firefox au gogle chrome . then nikadisable Internte explorer.
Umewai kufanya Regstry Edit? au Competency yako kwenye PC unaigrup vipi. Advanced user, Avarage but competent user . au just end user? From this information unaweza kupewa solution kulingana na mazingira yako?
Asante, ushauri wako umenisaidia. nime "disable explorer" na sasa natumia netscape. yule mdudu ameondoka na explorer wake.

macinkus
 
Forum statistics

Threads 1,238,900
Members 476,226
Posts 29,336,096