New Music : Future Jnl - Crazy

BM MJUKUU

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
33
Reaction score
3
Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako hapaMashaka Kisusi: Future Jnl - Crazy (Audio)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…