Mkuu lakini jamaa awe makini na hizi ngoma anavoziachia tu kiivi .Hii mashine angeitaarisha vizuri na kuitoa with official video aloo mfano wake ingekuwa hakuna.
unachokisema ni kweli mkuu,mpaka christian bella aliwahi kulalamika hasa alipoutupa wimbo wa UKIMWONA,alisema ni wimbo mkubwa sana na alishangaa kwnn jamaa(dai)hakuufanya kuwa official,ndo mana yeye akaamua kuufanyia remix!so nahc jamaa anajiamini sana ndo maana.
mkuu kwani umeambiwa huo wimbo ni official release mpk ubume?hii ngoma imevuja/vujishwa ama kwa bahati mbaya au makusudi...na ndo maana kiufundi kuna mambo hayajakamilika humo.