New mlm company looking for leaders

New mlm company looking for leaders

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
JF,
We are the new MLM Company for here in Tanzania. We want brand new leaders who will be recruiters and trainers to earn a residual income. Remember we will personally coach you to make from $ 1,000 from your first three months to $ 10,000 in your 6 and 9 months.
This is quiety different from any other MLM Company over here in Tanzania. Hatuhangaiki na products kama mlm companies nyingine na vipato ni vikubwa unaanza kupata vipato hata siku ya kwanza unapoingia katika biashara.

Kampuni yetu inaitwa TREVO. Na semina itafanyika leo katika hotel ya La KAIRO Mjini mwanza kuangia saa 11jioni itakayoendeshwa na top Leader toka Nigeria. Karibuni waote mliojeruhiwa na kuumizwa na MLM nyingine ambazo wengine walishawahi na kutengeneza vipato mshuhudie jinsi mtakavyokuwa wakwanza kukutana na hii fursa na kubadilisha maisha yenu.

Unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0784 162979 kwa ajili ya maelekezo zaidi. Asanteni
 
Hapo nilipoona NIGERIA.... Wizi ule ule katika mfumo tofauti.

Weka website, ogopa sana mtu ambaye hasemi aina ya biashara na inafanywa katika mtindo upi! Mtu hawezi kuja kwenye semina bila kuelewa kwa undani hiyo biashara.

Nadhani ungeweka hili tangazo facebook.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tunapenda sana kazi ila bila kujua aina ya kazi na inaendeshwa vipi hapo ni tatizo kwa kweli.
 
Hahahahaaaaaa tena hawa wanaosema watakutrain wao wenyewe....kama wale wa madawa na virutubisho sijui alovera
 
GNLD hao wamehamia Mwanza kuwashika wasukuma watani zangu
 
Back
Top Bottom