New Miono high school

Jana nimeenda miono high school wandugu wote tuliochaguliwa huko aisee n bonge la shule sana sana wakuuu acha niwatajie facilities nlizozikuta kule
1.3 laboratories full equiped
2.dining hall which has a capacity of accomodating 900 students
3.conference room which has da same capacity
4.kila darasa liko full feni za kutosha n full tiles
5.laundry room n also bathrooms full vigae bomba za mvua tuu
6.security guards wenye silaha
7.library which will be open all days
8.quater za walimu nyumba ziko full equiped
9.uwanja wa mpira wenye jukwaa la watazamaji viwanja vyote vipo ni wewe tuu
10. Njia zote za kutembelea zimepigwa rough hakuna kukanyaga chini juu batii hakuna kupigwa jua
11. School hospital
na vingine vingi najua wengi mtakuwa hampajui ukipanda gari kutoka dar es salaam ukivuka wami tuu kuna kituo kinaitwa mandela unashuka unaweza chukua bodaboda unamwambie akupeleke miono high school au (camp) au mwambie shule mpya ile ya wafadhili ( wabelgiji) kwa mujibu wa contractor alienitembeza shule inagharama ya billioni tano jaman tutaftane kwa mengi zaid 0718505467 Ally mohamed (CBG) msiogope shule ya ukweli sana kama upo dar inafanana kabisa na shaaban robert au alpha
 
Pouwa pouwa kijana tutatokelezea kiroho safi tu kwan joining hawatoi hapo kiskul manake kama mimi nipo Mwanza if posible nijuze vp network full kwel?
 
Joining nilivyoambiwa zitatumwa kwenye sanduku la posta uliloandikakwenye selform na hii shule n mixture network zinazokamata n airtell n voda tigo inazingua ila shule n babkubwa ungekuwa fb ningekutumia pics zake au hata ungeingia kwenye profile yangu utakuta pic yake na kwa chini nimeziattach nyingine
 
Wazee mimi mwenyewe naona kama nachelewa hivi au kama vipi tujitupie lini wakuuu wangu
 
Xa mbna Ally hujanichek kwa fb nisendie hizo pics kwa Name hii:Elixhadai Kiroho safi ili twende pamoja kijana.
 
Jaman wandugu for an easy way ya kuziona hizo pic hebu nitafuteni mimi Jina Ally moh'med kwenye profile yangu utakuta picha moja hivi nimepiga huko laundry room bas view previously comments mpaka mwisho utakuta picha zote nimeziattach hapo maana nliona sio ishu kuziuppload zote kama picha za kujitegemea fanyeni hivo wandugu mtazikuta
 
Mkasome sasa sio mnasifia uzuri wa shule wakati hamtaki kusoma mnataka kuchat facebook, twira na JF wakati wazazi wenu wanahenya kutafuta ada.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Joining nilivyoambiwa zitatumwa kwenye sanduku la posta uliloandikakwenye selform na hii shule n mixture network zinazokamata n airtell n voda tigo inazingua ila shule n babkubwa ungekuwa fb ningekutumia pics zake au hata ungeingia kwenye profile yangu utakuta pic yake na kwa chini nimeziattach nyingine


Ally96 unafahamu website yao? au kwa yeyote anaeifahamu pl'se airuushe hapa.
 
Back
Top Bottom