New member.

Karibu sana, ingawa hapa si mahali pake, inaonekana unapendelea sana maswala ya MMU
 
Wana J fongo mimi ni new member,Tafadhalini naomba mnipekee.

Kama umejiunga kwa maono ya kuitumia forum hii kushare mawazo na kuchangia mijadala yenye tija kwa nchi na jamii yetu karibu sana; (Paying lip service to just cause; Osagyefo Kwame Nkurumah; Prezzo Ghana); japo kinyume na dhamira hiyo basi utakuwa umeingia mahali pasipo kufaa! none the less nafikiri 100 days honeymoon zitakunufaisha to take cue na kusimama vizuri kwenye jamvi. welcome onboard and best wishes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom