Ni mgeni ndani ya jf naomba kujumuika katika kujifunza na kuchangia nanyi kwenye mambo mbalimbali ambayo hufanyika humu na pia kupata marafiki...na shukuru Kwa kunipokea
Basi viwatu vipo humu JF vinajifanya vimejifichaaaa...eti kila mgeni akija ni kujifanya kudiss na kuwacheka wageni tu..Shame on you, aina ya ushamba mwingine huo. Ukihitajika popote utakamatika tu hata ujiite pundamizigo.