B brainiac_iq New Member Joined Nov 16, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Nov 18, 2018 #1 Hello Jamii forum
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Nov 18, 2018 #2 He'llo JF unapiga simu kutoka wapi.
B brainiac_iq New Member Joined Nov 16, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Nov 18, 2018 Thread starter #3 Viatu vya Samaki said: He'llo JF unapiga simu kutoka wapi. Click to expand... Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF
Viatu vya Samaki said: He'llo JF unapiga simu kutoka wapi. Click to expand... Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Nov 18, 2018 #4 brainiac_iq said: Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF Click to expand... Karibu sana mdau wetu kutoka Arusha. Nijulie hali ya ubaridi wa Arusha kwa sasa.
brainiac_iq said: Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF Click to expand... Karibu sana mdau wetu kutoka Arusha. Nijulie hali ya ubaridi wa Arusha kwa sasa.
B brainiac_iq New Member Joined Nov 16, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Nov 18, 2018 Thread starter #5 Viatu vya Samaki said: Karibu sana mdau wetu kutoka Arusha. Nijulie hali ya ubaridi wa Arusha kwa sasa. Click to expand... Shukrani, hali ya hewa ya Arush kwa sasa ni ubaridi wa wastani kwa nyakati za jioni na Asubuhi ila mchana kuna jua la wastani
Viatu vya Samaki said: Karibu sana mdau wetu kutoka Arusha. Nijulie hali ya ubaridi wa Arusha kwa sasa. Click to expand... Shukrani, hali ya hewa ya Arush kwa sasa ni ubaridi wa wastani kwa nyakati za jioni na Asubuhi ila mchana kuna jua la wastani
B brainiac_iq New Member Joined Nov 16, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Nov 18, 2018 Thread starter #6 unatokea upande gani ndugu? @Viatu Vya Samaki
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Nov 18, 2018 #7 brainiac_iq said: unatokea upande gani ndugu? @Viatu Vya Samaki Click to expand... Natokea Igunga mkuu.
brainiac_iq said: unatokea upande gani ndugu? @Viatu Vya Samaki Click to expand... Natokea Igunga mkuu.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,724 Reaction score 18,156 Nov 18, 2018 #8 brainiac_iq said: Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF Click to expand... Nani kakuambia jf ni familia
brainiac_iq said: Napiga simu kutokea Arusha, ninayofuraha kua mmoja wa familia hii ya JF Click to expand... Nani kakuambia jf ni familia
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,821 Reaction score 13,780 Nov 19, 2018 #9 karibu sana JF.............