Mmmmhhh.... Sijaelewa elewa lakini naona ni kama anagonga hodi. Karibu sana. welcome (sijui nimepatia?).:A S 39:
Wengine tulikaa kwanza kama wageni kwa muda mrefu hadi tulipo elewa ndio tukajiunga. Kuna thread inaitwa : "how to use JF effectively", posted by Invisible. Jaribu kuitafuta, inamaelezo yote kwa new members. 🙂help🙂