Alfa Romeo
Member
- Feb 25, 2011
- 5
- 0
Karibu sana, tushirikiane kujadili mustakabali wa taifa letu.
karibu andaa na kopo la asprini hapa kichwa lzm kiume
Hi Guys,am just a New Kid on the Block. Hope tutabadilishana constructive ideas kwenye forum hii,thx!
Humu ndani hatuna constructive ideas tupo kitaarabu zaidi! Tuambie uko chama gani? Humu kuna CUF,CCM na CHadema!
Karibu sana ndugu,je unapenda siasa?
of coz,siasa napenda esp now nafikiri kila mtanzania anaguswa na siasa.
Humu ndani hatuna constructive ideas tupo kitaarabu zaidi! Tuambie uko chama gani? Humu kuna CUF,CCM na CHadema!