New member

Kuwa makini na watu hawa:
1. GENTAMYCINE.
Huyu jamaa ni popoma wa kiwango cha lami, jitahadhari naye asije akakuambukiza ugonjwa hatari wa upopoma.

2. Mzama chumvini.
Yep! Usishangae, hilo ndio jina aliloamua kulitumia, huyu ni.muathirika wa huo ugonjwa nilioutaja hapo juu. Mkwepe na ukisoma post zake usisite kumpa pole au kumsikitikia.

Watu hawa watakuwa vipenzi vyako kama ni mpenda ubuyu (umbea).

1. Niffa
Huyu kwangu ndio mbea namba moja duniani, na nina mahaba naye mno:rolleyes:

2. Warumi.
Huyu bi mdada anatishia sana utawala wa niffa, ila post zake huwa ni motomoto.

3. Evelyn salt.
Huyu bi mdada anaonekana ni boge sana (my imagination, kutokana na aina ya post zake), huyu kajaa utani na ni mtu ambaye kiwango cha umbea kinashuka as days goes on, soo sas:oops::(

3. Lala 1
Huyu post zake mpaka uzielewe lazima jasho likutoke, very intelligent. Ila ni mtu wa kupanik kirahisi.

Ukitaka kujifunza ulonzi:
1. Mshana jn.
Hamna zaidi ya huyu, jamaa ana vast amount of knowledge katika mambo ya ulonzi, ila SI MCHAWI.

ukitaka kujifunza uchawi wa kwelikweli:
1. Faizafoxy.
Huyu bibi ni mchawi kweli:eek:, simuelezei sana asije akaniroga, mfuatilie utakuja kunipa jibu.

Ukitaka kupata enlightment ya mambo mbalimbali:
1. Bansen bana
2. The boss
3. Mshana jn.

Ukitaka mchumba::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

1. Sizzya007.
Huyu hana mpinzani

Karibu jf
Kununa unaruhusiwa:rolleyes:
Kucheka unaruhusiwa:rolleyes:
Kutukana mwiko:mad:
 
karibu..una guu la beer...karibu beer....
Mkuu unaangalia sana miguu...he he!

Nimeona mada moja ya Mchambuzi leo alisema kuhusu mtu anyeangalia sana Miguu wakati wa kutongoza.....sikumbuki alisema wanakuwaje
 
unipe link ukiiona mkuu....
 
Kuwa makini na watu hawa:
1. GENTAMYCINE.
Huyu jamaa ni popoma wa kiwango cha lami, jitahadhari naye asije akakuambukiza ugonjwa hatari wa upopoma.

2. Mzama chumvini.
Yep! Usishangae, hilo ndio jina aliloamua kulitumia, huyu ni.muathirika wa huo ugonjwa nilioutaja hapo juu. Mkwepe na ukisoma post zake usisite kumpa pole au kumsikitikia.

Watu hawa watakuwa vipenzi vyako kama ni mpenda ubuyu (umbea).

1. Niffa
Huyu kwangu ndio mbea namba moja duniani, na nina mahaba naye mno:rolleyes:

2. Warumi.
Huyu bi mdada anatishia sana utawala wa niffa, ila post zake huwa ni motomoto.

3. Evelyn salt.
Huyu bi mdada anaonekana ni boge sana (my imagination, kutokana na aina ya post zake), huyu kajaa utani na ni mtu ambaye kiwango cha umbea kinashuka as days goes on, soo sas:oops::(

3. Lala 1
Huyu post zake mpaka uzielewe lazima jasho likutoke, very intelligent. Ila ni mtu wa kupanik kirahisi.

Ukitaka kujifunza ulonzi:
1. Mshana jn.
Hamna zaidi ya huyu, jamaa ana vast amount of knowledge katika mambo ya ulonzi, ila SI MCHAWI.

ukitaka kujifunza uchawi wa kwelikweli:
1. Faizafoxy.
Huyu bibi ni mchawi kweli:eek:, simuelezei sana asije akaniroga, mfuatilie utakuja kunipa jibu.

Ukitaka kupata enlightment ya mambo mbalimbali:
1. Bansen bana
2. The boss
3. Mshana jn.

Ukitaka mchumba::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

1. Sizzya007.
Huyu hana mpinzani

Karibu jf
Kununa unaruhusiwa:rolleyes:
Kucheka unaruhusiwa:rolleyes:
Kutukana mwiko:mad:
DUH...............................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom