Ndugu wana JF mimi ni mgeni nataka kuwa salimia. Kwa walio nizidi umri Shikamoo Kwa vijana wenzangu Maboooo Kwa muda mrefu nimekuwa na soma trend mbali mbali kwa ujumla nimefurahi sana kuona ni jukwaa la maoni na kufundishana kwa hilo nitajaribu kuwa mwana JF bora kwani najuwa nimejiunga na familia nzuri na wengi wanafamilia wana maoni yenye mafundisho