YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Tupia Link Ya Iyo Kitu Nimeisaka Torrents SiioniZa mwaka huu kuna jackpot, doctors na scholar who walks at night. Halafu kuna moja ya ji Chang wook inaitwa K2 imeanza wiki ilopita ni shida hii kitu, ndo kwanza Ina episode 4.
Kitu IPI k2 ama?Mkuu Tupia Link Ya Iyo Kitu Nimeisaka Torrents Siioni
http://kissasian.com/Drama/The-K2Mkuu Tupia Link Ya Iyo Kitu Nimeisaka Torrents Siioni
Mkuu nimeshindwa kuipata kwenye torrent..kama una link nyingne nisaidieDah!!!!nimeimaliza leo hii kitu!!!kama isingeisha vile!!!!!ila mtaalamu Mcllins kafa kizembe,mi nilijua kutakuwa na mkono hatari kati yake na captain yoon
nakuchangia uanze na gu family book na night watchmanMkuu, nipe list ya Historic Drama KALI.... Huo ndio ugonjwa wangu haswaaa
Unaangalizia wapi kamanda bobzenden93Za mwaka huu kuna jackpot, doctors na scholar who walks at night. Halafu kuna moja ya ji Chang wook inaitwa K2 imeanza wiki ilopita ni shida hii kitu, ndo kwanza Ina episode 4.
Unafanya kazi capital tv?Mkuu Anza Na EMPEROR OF THE SEE Kama Hujawai Kuiona, Hii Mimi Ndio Ilinikaribisha Kwenye Huu Ulimwengu (52 Episodes Tu). Humu Ndani Utakutana Na Slave Alieitwa Gong Bok, Jamaa Alipanda Ranks Hadi Akaja Kuwa Buseness Man Mkubwa Na Badae Balozi Akiwa Na Jina Jipya Jang Boko.
Ukimaliza Cheki Na Hii List
1. Slave Hunter
(Daegu The Slave Hunter Huyu Jamaa)
2. The Queen Of Seondeok
(Humu Ndani Kuna Mtu Anaitwa Bidam Yupo Na Princess Deokman & Field Marshal Muno Tamuu Vibayaa)
Halafu Ukuje Nikutajiee Na Nyingine Baada Ya Hizi Kuzimaliza...
Au Ushazichek Tayar???
kama umeipenda emperor of the sea angalia mzigp mwngne unaitwa empress ki hio kitu imetulia watu wametumia akili nying sana humoMkuu Anza Na EMPEROR OF THE SEE Kama Hujawai Kuiona, Hii Mimi Ndio Ilinikaribisha Kwenye Huu Ulimwengu (52 Episodes Tu). Humu Ndani Utakutana Na Slave Alieitwa Gong Bok, Jamaa Alipanda Ranks Hadi Akaja Kuwa Buseness Man Mkubwa Na Badae Balozi Akiwa Na Jina Jipya Jang Boko.
Ukimaliza Cheki Na Hii List
1. Slave Hunter
(Daegu The Slave Hunter Huyu Jamaa)
2. The Queen Of Seondeok
(Humu Ndani Kuna Mtu Anaitwa Bidam Yupo Na Princess Deokman & Field Marshal Muno Tamuu Vibayaa)
Halafu Ukuje Nikutajiee Na Nyingine Baada Ya Hizi Kuzimaliza...
Au Ushazichek Tayar???
Unafanya kazi capital tv?
Nitakuletea Mrejesho Mkuukama umeipenda emperor of the sea angalia mzigp mwngne unaitwa empress ki hio kitu imetulia watu wametumia akili nying sana humo
Hahahaha Umeisoma Sasa Ehh...Aiseee!!!!nimemaliza episode 3 hapa!!!!ila show imezidi kuninogea pale nilipomwona mtaalaam David Lee McInnis naye ndani ya nyumba View attachment 413346View attachment 413347
Sema Unataka Ipi Mkuu Tukule LinkMnataja majina tu bila link
Torrent Yake Hii Ni Rahis KuIshusha Mkuu...Mkuu nimeshindwa kuipata kwenye torrent..kama una link nyingne nisaidie