New job vacancy today 24th november 2012

Joined
Oct 12, 2012
Messages
18
Points
0
Joined Oct 12, 2012
18 0
OFFICE ASSISTANCE JOB VACANCY
COMPANY:SUN SHINE GROUP LIMITED
LOCATION:Morocco near Airtel building
POST/POSITION:Office Assistance
QUALIFICATION:
· Female by gender
· Single
· University graduated
· Familiar with Microsoft Office tools especially for Excel
· Have some relative work or practice experience
· Can work under pressure
· Accept occasional work overtime
PROBATION PERIOD(its payment):3 months,300000Tshs payment
CONFIRMED STAFF(after probation,payments):500000Tshs+bonus payments
VACANCY:3people in need
Attach your CV only into this Email:mycv.sunshine632@yahoo.com
NB:Remember to write the position you are applying for.
*ALL THE BEST*

 

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,863
Points
2,000

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,863 2,000
Ww ndo nafuu au nd wanakuamin?? Kama ww uko hivi manager yukoje!!? Nenda English course kwanza. Niajirin mm nitawaibia hadi meza.
 

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
966
Points
250

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
966 250
Hiyo kampuni yenu haina akili!
Hata ulichokiandika ni maandazi matupu!
Mkuu hii kampuni mashaka matupu,kila siku wanakuja na style mpya.Majina yamekuwa mengi na style yao ya kila wiki kuja na mjina tofauti tofauti ya kazi yenye maana moja ni tatizo la msingi.Sasa leo lugha iliyotumika kuleta tangazo ni shida tupu.Sijawahi jua ni kwanini wamekuwa na uhitaji wa akina dada walio single sasa sijui kuna kazi gani zenye kuhitaji singles.
 

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
966
Points
250

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
966 250
Ww ndo nafuu au nd wanakuamin?? Kama ww uko hivi manager yukoje!!? Nenda English course kwanza. Niajirin mm nitawaibia hadi meza.
Mkuu nadhani huwa wakija kuleta matangazo yao wanakuwa na stress kibao.Ila wanatia mashaka sana kwa style yao ya kila wiki kuja na matangazo ya kazi na i think hii kampuni ni mpya na posibly hata wenye kazi hawakofamilia na mazingira ya shughuli zao Tz.
 

jizzle

New Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1
Points
0

jizzle

New Member
Joined Oct 2, 2012
1 0
Hizo nafasi za kazi zingine ni kimeo hamna kitu ni kuumiza akili za watu wanajamiiforum wezangu tuwe makini hasa wenzangu nami tunaotafuta kazi by jizzle from MBEYA TZ
 

Forum statistics

Threads 1,392,768
Members 528,684
Posts 34,117,507
Top