igugo mkuu!
Ulikuwa wap kukoment pumba zako hapa tayari wenye hela wameshainunua!Kwani ipo dukani mkuu?? si imeshapigwa vumbi la hapo uswahili kwenu, achilia mbali vidole vyake kuishikashika, kuiangusha na kuiwasha tu, hapo sijataja kuitumia. so picha ya google si sawa. labda specs kidooogo.. tho nayo sikuamini!