New Huawei G6 for sale

New Huawei G6 for sale

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa bwana?
Kina The Bold wanapendwa kwa kuleta mada zinazosisimua

Wacha wengine tujitutumue kwa njia nyingine
Huwezi jua kuna ka dodo kataanguka kwenye muarobaini

[emoji36]
 
Kina The Bold wanapendwa kwa kuleta mada zinazosisimua

Wacha wengine tujitutumue kwa njia nyingine
Huwezi jua kuna ka dodo kataanguka kwenye muarobaini

[emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemkomalia sana jamaa.

Anyways,hebu fanya hiyo njia nyingine.
Ni vizuri kuwa unique [emoji5]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemkomalia sana jamaa.

Anyways,hebu fanya hiyo njia nyingine.
Ni vizuri kuwa unique [emoji5]
Teh teh ni ukweli tu na ka wivu kananisumbua ndio maana namuonea gere jamaa ,kwani nani hapendi kuwa na manzi mkali ?

Hiyo 500k ni kama mali kauli yaani sina ila naweka bond Kitanda na Chaga au unaonaje teh [emoji36][emoji36]
Fanya kunitumia namba PM tuwasiliane zaidi
 
Hivi ndio ukaghairigi kuiuza.?? Thank you lord.. Naondoka nayo hii kesho kutwa [emoji4]
 
Mkuu umeshaiuza? Kama bado ikikupendeza njoo PM nina 600Killo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom