nisaidie mkuu haijafikaFanya 250 mkuu,tutafutane.
kila la kheri katika biashara yako!ila ujue wengine tuko makini na Zawadi yako![]()
![]()
uwiiiiiiii nimechekaaaaaa.
Zawadi ni Huawei P6 mkuu,hii ni Huawei g6.
Rudi ukasome ile post ya zawadi,bora nilivyoiweka aiseeee.
Laki 2 Niko geita vipi biashara tutafanyaje?Fanya 250 mkuu,tutafutane.
Fanya 250 tufanye hivi...Laki 2 Niko geita vipi biashara tutafanyaje?
Auta niwekea mche wa sabuniFanya 250 tufanye hivi...
200 utanitumia nami nifanye mchakato wa kukutumia (kupitia basi)
Ukishapokea mzigo utanimalizia 50,kumbuka hapo nitagharamia usafiri mimi.
Kikubwa uaminifu tu.
Deal?

Auta niwekea mche wa sabuniFanya 250 tufanye hivi...
200 utanitumia nami nifanye mchakato wa kukutumia (kupitia basi)
Ukishapokea mzigo utanimalizia 50,kumbuka hapo nitagharamia usafiri mimi.
Kikubwa uaminifu tu.
Deal?

wote muwe makini!mnaweza tumiana mche Wa sabuni,au ukaiuza simu kwa 200K...kwamba anatuma 200K then ukituma akiipokea ndio hatupatikana milele!so kuondoa vishawishi please kila mtu awe makini!nashauri huyo Wa Geita ahakikishe ana mtu Daslam then biashara ifanyike!Tena niffah umlete kwenu na aje na fedha mkononi asije kuita mahala ukajikuta unaitoa simu bure,then muhamala Wa Tigo pesa ukazuiwa!ANGALIZO KUU HILIAuta niwekea mche wa sabuni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Oh dear,can't do such a shit bhana.Auta niwekea mche wa sabuni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sure,kama ana ndugu Dsm itakuwa vizuri zaidi.wote muwe makini!mnaweza tumiana mche Wa sabuni,au ukaiuza simu kwa 200K...kwamba anatuma 200K then ukituma akiipokea ndio hatupatikana milele!so kuondoa vishawishi please kila mtu awe makini!nashauri huyo Wa Geita ahakikishe ana mtu Daslam then biashara ifanyike!Tena niffah umlete kwenu na aje na fedha mkononi asije kuita mahala ukajikuta unaitoa simu bure,then muhamala Wa Tigo pesa ukazuiwa!ANGALIZO KUU HILI