birungi JF-Expert Member Oct 6, 2010 391 16 Feb 10, 2011 #2 nimeitamani sana, ila location kwa kazini kwangu ni mbali. ntakusaidia kupata mdau
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,330 Feb 10, 2011 #3 nashindwa kabisa kuziona picha, unaweza kuziattach kwa format nyingine?
D DICXON Member Feb 10, 2011 27 11 Feb 10, 2011 Thread starter #4 Birungi fanya hivo ntashukuru, Kituko, subiri nijaribu kuziatach tena, maana hata mimi sizioni baada ya kupost.
Birungi fanya hivo ntashukuru, Kituko, subiri nijaribu kuziatach tena, maana hata mimi sizioni baada ya kupost.