taarifa nilizozipata hivi punde ktoka kwa mwanafunzi aliyechaguliwa muce na tayari kashafika chuoni kasema majina ya waliopata mkopo mwaka 2015/2016 yameshabandikwa chuoni kama una mtu wako wa karibu yupo uko jarib kuwasiliana nae akuangalizie.