haa haa kama hujachaguliwa fanya mchakato mwingine,ukienda kwenye profile wanakwambia second round mwisho tarehe 16 mwezi wa 10. kama ulichagua chuo nenda kwenye go to profile ingia hapo utaona chuo ulichochaguliwa. kama mpaka sasa hujachaguliwa basi jaribu mwakani.maana tarehe 16 ni siku ya kufunga udahili