jamani mwogopeni Mungu, mwenzenu anajitahidi, ilaumuni hii nchi kwa mfumo mbaya wa elimu.
Leo nilikuwa naangalia evaluation form za walimu walizojaza baada ya workshop ni aibu jamani, hii nchi inahitaji maombi, hiyo lugha iliyoandikwa humo, nimebaki kusema , OMG sasa kama watoto ndo wanafundishwa na wlimu kama hawa, ni taifa gani tunajenga kwa kizazi hiki na utandawazi huu!